GET /api/v0.1/hansard/entries/1054572/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1054572,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1054572/?format=api",
    "text_counter": 170,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Nyali, Independent",
    "speaker_title": "Hon. Mohamed Ali",
    "speaker": {
        "id": 13455,
        "legal_name": "Mohammed Ali Mohamed",
        "slug": "mohamed-ali-mohamed"
    },
    "content": "Jana nimemsikia Waziri wa Usalama wa Ndani Bw. Fred Matiang’i akisema ya kwamba mahakama ni sharti ifanye vile wanataka. Huyu Matiang’i binafsi amekataa kuheshimu sheria za hii nchi."
}