GET /api/v0.1/hansard/entries/1055002/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1055002,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1055002/?format=api",
"text_counter": 263,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mosop, JP",
"speaker_title": "Hon. Vincent Tuwei",
"speaker": {
"id": 13436,
"legal_name": "Vincent Kipkurui Tuwei",
"slug": "vincent-kipkurui-tuwei"
},
"content": " Asante sana, Mhe. Spika. Nachukua nafasi hii kwa niaba ya jamii ya Nandi na Eneo Bunge langu la Mosop kukupongeza sana kwa sababu ya kupewa heshima kubwa na jamii yako. Kuwa kiongozi sio kitu rahisi. Sisi kama jamii ya Nandi, pia tuko na wazee kama hao. Majuzi mliona tukipeana nafasi kwa viongozi wengine ili pia wabarikiwe."
}