GET /api/v0.1/hansard/entries/1055011/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1055011,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1055011/?format=api",
"text_counter": 272,
"type": "speech",
"speaker_name": "Shinyalu, ODM",
"speaker_title": "Hon. Justus Kizito",
"speaker": {
"id": 71,
"legal_name": "Justus Kizito Mugali",
"slug": "justus-kizito"
},
"content": " Nasema Baba Raila Odinga. Sijasema Musalia mimi. Kwa hivyo, wakati ule ukifika tutakuja kule tukuombe na kukuambia tutembee pamoja. Tunafurahia kwa sababu tunaona viongozi wanaibuka. Wewe ndio wale viongozi wapya na viongozi wanamapinduzi ambao wana mawazo mapya ambayo yanaweza kutusukuma mbele. Heko na naunga wote mkono kwamba wafaa—wafaa zaidi. Kama kuna nafasi pale mbele, usikawie bwana. Nenda kule kwa sababu tunajua wewe ni wetu. Shukrani."
}