GET /api/v0.1/hansard/entries/1055149/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1055149,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1055149/?format=api",
"text_counter": 410,
"type": "speech",
"speaker_name": "Nominated, JP",
"speaker_title": "Hon. David ole Sankok",
"speaker": {
"id": 13166,
"legal_name": "David Ole Sankok",
"slug": "david-ole-sankok"
},
"content": " Mhe. Naibu Spika wa Muda, Mhe. Kimani Ichung’wah amekuchukua kama Kiongozi wa Waliowengi. Hukuelewa vizuri vile nilikuwa nasema. Nilisema ya kwamba kuna boma ambayo iko na watoto ambao wako na baba tofauti. Kuna huo mchanganyiko maalum katika hiyo boma."
}