GET /api/v0.1/hansard/entries/1055150/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1055150,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1055150/?format=api",
"text_counter": 411,
"type": "speech",
"speaker_name": "Nominated, JP",
"speaker_title": "Hon. David ole Sankok",
"speaker": {
"id": 13166,
"legal_name": "David Ole Sankok",
"slug": "david-ole-sankok"
},
"content": "Nitatoa mfano. Tuseme hii boma iko na bwawa ambalo ng’ombe anakunywa maji. Uko na mtoto wa Mjaluo, Maasai na Mhindi. Huyu wa Maasai analeta ng’ombe akunywe yale maji na huyu wa Mkikuyu anataka kupanda nyanya zake hapo karibu anyunyizie maji. Sasa, hawa watu wanapigana. Yule mtoto wa Mhindi anataka kutoa mineral water ndio auze. Yule mtoto wa Mjaluo anataka kuweka samaki. Huyu mtoto wa Maasai analeta ng’ombe 1,000 ambao"
}