GET /api/v0.1/hansard/entries/1055166/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1055166,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1055166/?format=api",
"text_counter": 427,
"type": "speech",
"speaker_name": "Nominated, JP",
"speaker_title": "Hon. David ole Sankok",
"speaker": {
"id": 13166,
"legal_name": "David Ole Sankok",
"slug": "david-ole-sankok"
},
"content": " Mhe. Naibu Spika wa Muda, sijasema hivyo. Itabidi unilinde kutoka kwa Mhe. Millie Odhiambo. Unajua historia yake. Unajua maneno yake ni makali. Nimesema ya kwamba wale ambao wanaumia sana na wanauziwa dawa za kulevya..."
}