GET /api/v0.1/hansard/entries/1055169/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1055169,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1055169/?format=api",
"text_counter": 430,
"type": "speech",
"speaker_name": "Nominated, JP",
"speaker_title": "Hon. David ole Sankok",
"speaker": {
"id": 13166,
"legal_name": "David Ole Sankok",
"slug": "david-ole-sankok"
},
"content": "Mhe. Naibu Spika wa Muda, kuna ushahidi katika Chuo Kikuu cha Maasai Mara ya kwamba kile chakula kinaitwa ngumu ama KDF kinawekwa dawa za kulevya na bhangi na kinauziwa watoto pale mitaani. Ndio sababu nilikuwa nikisema kuwa saa zingine wale walio chini wanafanya watu wakuwe waraibu wa kutumia ngumu na KDF. Wanaendelea kuwa wachochole kwa sababu wanafanya kazi kidogo na ile pesa kidogo wanapata, wanaitumia kununua dawa za kulevya."
}