GET /api/v0.1/hansard/entries/1055171/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1055171,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1055171/?format=api",
"text_counter": 432,
"type": "speech",
"speaker_name": "Nominated, JP",
"speaker_title": "Hon. David ole Sankok",
"speaker": {
"id": 13166,
"legal_name": "David Ole Sankok",
"slug": "david-ole-sankok"
},
"content": "Watoto wa matajiri ndio wako na pesa ya kununua dawa za kulevya za bei ya juu na ndio wanaumia zaidi. Ndio sababu sisi wote kama wananchi wa Kenya na Wabunge ambao ni wawakilishi wa watu wote, tunaunga mkono huu Mswada."
}