GET /api/v0.1/hansard/entries/1056219/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1056219,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1056219/?format=api",
    "text_counter": 464,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Natumai, Hon. Mohamed ukisema yeyote atakaye pinga ni adui wa Kenya haitamzuia yeyote kutoa mapendekezo bora zaidi ama kupendekeza mabadiliko ya kuiboresha. Kwa hivyo nafikiri kuna huo uhuru. Sasa umeniambukiza Kiswahili; twende kwa Leader of the Majority ."
}