GET /api/v0.1/hansard/entries/1056261/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1056261,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1056261/?format=api",
    "text_counter": 506,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Janet Nangabo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 1076,
        "legal_name": "Janet Nangabo Wanyama",
        "slug": "janet-nangabo-wanyama"
    },
    "content": "(Trans Nzoia (CWR), JP): Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi hii nichangie Mswada huu kuhusu mihadarati. Ninataka niungane na wenzangu wale wameshukuru Kamati ya Usalama. Wamefanya kazi nzuri sana kuhusu haya mambo ya mihadarati katika nchi yetu ya Kenya."
}