GET /api/v0.1/hansard/entries/1056264/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1056264,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1056264/?format=api",
"text_counter": 509,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Janet Nangabo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1076,
"legal_name": "Janet Nangabo Wanyama",
"slug": "janet-nangabo-wanyama"
},
"content": "Ninataka pia kukubaliana na wenzangu wale wamesema jinsi ya kupata ujumbe. Hiki ni kitu cha maana mno. Iwapo tutakuwa na mahali pa kupata huu ujumbe kwamba ni fulani ambaye anahusika na jambo fulani ama yule anatoa hii mihadarati na kuuza, itakuwa ni jambo la maana sana. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}