GET /api/v0.1/hansard/entries/1056265/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1056265,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1056265/?format=api",
    "text_counter": 510,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Janet Nangabo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 1076,
        "legal_name": "Janet Nangabo Wanyama",
        "slug": "janet-nangabo-wanyama"
    },
    "content": "Pia, ninataka kuungana na wenzangu ambao wamesema kwamba kuna watu wanakodesha nyumba mahali iwe kama ofisi yao ya kuleta hii mihadarati halafu waitoe hapo na wapeleke kwingine. Ninaona ni vyema hata hao ambao wanapeana nyumba zao wachunguze ni biashara gani inaendelea katika mahali hapo."
}