GET /api/v0.1/hansard/entries/1057878/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1057878,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1057878/?format=api",
"text_counter": 81,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Katika Kauli hiyo Kamati iangazie yafuatayo: (1)Ni pesa ngapi zimetengwa na Serikali kwa uboreshaji wa ujenzi wa barabara hiyo ya Mshomoroni-Mwakirunge kufikia hali ya barabara ya lami? (2)Kwa nini ujenzi wa barabara hiyo ambayo awali ulijumulishwa pamoja na barabara ya zamani ya Malindi haukukamilishwa? (3)Ni pesa ngapi zilitengwa kwa ujenzi wa barabara ya zamani ya Malindi kutoka Kengeleni hadi Bamburi mwisho?"
}