GET /api/v0.1/hansard/entries/1058121/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1058121,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1058121/?format=api",
    "text_counter": 324,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "The Temporary Speaker",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "(Sen. (Dr.) Mwaura): Asante sana kwa kuchangia kwingi na kwa ukakamavu. Hii kwa sababu ulikuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uhasibu na Uwekezaji wa Umma. Ninakubaliana na wewe kwamba lazima tuwe na Ofisi Maalum ya Uhasibu ya Bunge. Mheshimiwa Seneta, ni muhimu ni kujulishe kwamba tayari nina Mswada juu ya swala hilo ambao unitauwasilisha hapa Bungeni. Mada yake ni: Parliamentary Audit Office Bill. Shida iwepo ni kwamba watunzi wa sheria wanaotusaidia kuiandika walikuwa wanafikiri itakua kama afisi ya Uhasibu wa Tume ya Bunge ambao itajishughulisha na kuangalia hesabu zao. Kwa kweli, tukiwa na wizara zaidi ya 20, taasisi zaidi ya 200 na pia serikali za ughatuzi 47 na taasisi zake, itakuw vigumu sana kwa Mbunge yeyote kutathimini ripoti zote kwa umakini. Mapendekezo yako ni muhimu kwa vile itasaidia sana kupigana na ufisadi nchini. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}