GET /api/v0.1/hansard/entries/1058142/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1058142,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1058142/?format=api",
"text_counter": 345,
"type": "speech",
"speaker_name": "The Temporary Speaker",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Fauka ya hayo, umezungumza kama mwamini shapavu ambaye angependa kuhakikisha maadili ya Mungu yamefuatwa. Nimefurahi kusikia ukisema kwamba uongozi bora hutoka kwa Mungu. Ni vyema sisi viongozi kuhakikisha tumeyatekeleza majukumu tuliyotunukiwa na Mungu. Hii ni heshima kubwa na kwa hiyo tusiwadhulumu walio chini yetu kwa sababu ya mirengo yetu ya kisiasa."
}