GET /api/v0.1/hansard/entries/1058343/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1058343,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1058343/?format=api",
    "text_counter": 188,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mosop, JP",
    "speaker_title": "Hon. Vincent Tuwei",
    "speaker": {
        "id": 13436,
        "legal_name": "Vincent Kipkurui Tuwei",
        "slug": "vincent-kipkurui-tuwei"
    },
    "content": " Mhe. Spika, asante sana kwa fursa hii ambayo umetupa kujadili jambo hili la kushtua. Linashangaza sana kwamba Kiongozi wa Waliowengi anahitaji wiki mbili kupata jibu ambalo ni rahisi. Leo tumejadili ule Mswada wa kuangalia mambo ya pesa katika Wizara ya Masuala ya Nje na tumegundua kwamba suala hili limejadiliwa. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}