GET /api/v0.1/hansard/entries/1059257/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1059257,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1059257/?format=api",
    "text_counter": 91,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Bw. Spika, kwa Hoja ya Nidhamu. Tunakumbuka mambo yaliyotokea kule Matungu na Kabuchai. Hata ijapokuwa tumesimama kumpongeza Seneta mwenzetu, ni vizuri ijulikane wazi kulikuwa na sinto fahamu pale Matungu na Kabuchai. Ni vizuri ukweli usemekane na ijulikane wazi kabisa badala ya kuchanganya Wakenya. Inajulikana wazi kwamba mambo yaliendelea vizuri na kwa usalama katika Kaunti ya Machakos. Mahali ambapo ndugu yangu, Seneta wa Kaunti Kakamega, anaposema kwamba mambo yaliendelea vizuri, ni vizuri ijulikane wazi kwamba kulikuwa na vuta nikuvute."
}