GET /api/v0.1/hansard/entries/1059269/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1059269,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1059269/?format=api",
    "text_counter": 103,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Omanga",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13175,
        "legal_name": "Millicent Omanga",
        "slug": "millicent-omanga"
    },
    "content": "Asante, Bw. Spika. Najiunga na Maseneta wenzangu kumpongeza Sen. Agnes Kavindu Muthama. Nimekuwa na fadhila ya kufanya kazi na Sen. Kavindu Muthama. Nilimfanyia kampeni zake za 2017 alipowania kiti cha mwakilishi wa wanawake wa kaunti kwa cheti cha chama cha Jubilee. Kusema kweli, alikuwa mama shupavu mwenye mpangilio."
}