GET /api/v0.1/hansard/entries/1059270/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1059270,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1059270/?format=api",
"text_counter": 104,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Omanga",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13175,
"legal_name": "Millicent Omanga",
"slug": "millicent-omanga"
},
"content": "Bw. Spika, ya Mungu ni mengi. Mungu aliona kuwa Sen. Kavindu Muthama hafai kupata tu kiti cha akina mama, lakini anafaa kuwa katika kiti ambacho atapigana na wanaume na atawabwaga. Sasa yeye ndiye Seneta mpya wa Kaunti ya Machakos. Hii imetupa motisha kama viongozi, haswa akina mama walioteuliwa, kwamba tunaweza kwenda kule, tuombe kura na tuchaguliwe."
}