GET /api/v0.1/hansard/entries/1059280/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1059280,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1059280/?format=api",
    "text_counter": 114,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Omanga",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13175,
        "legal_name": "Millicent Omanga",
        "slug": "millicent-omanga"
    },
    "content": "Asante, Bw. Spika. Ningeomba Maseneta wenzangu wawe watulivu na wasikize kwa makini. Sikusema kwamba wameungana kisiasa. Nilisema kwamba wamejiunga kwa vyama vile ambavyo viliteua akina mama kwa Bunge hili. Kimekuwa sasa chama cha tatu. The Party of Development and Reforms (PDR) ambayo imebadilishwa na kuitwa UDA, ilileta Sen. Dullo kwenye Seneti. Jubilee Party ilileta mama shupavu, Sen. Kihika, na Sen. (Prof.) Kamar. Sasa WDM ni chama cha tatu. Sijasema kuwa tuko na muungano wa kisiasa. Bw. Spika, ningependa kuwapongeza watu wa Machakos na kumwambia Sen. Kavindu Muthama kwamba Sen. (Dr.) Kabaka alikuwa mtu ambaye ana--- Sijui kama ninaweza kuchanganya na Kizungu."
}