GET /api/v0.1/hansard/entries/1059493/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1059493,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1059493/?format=api",
    "text_counter": 327,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "The Temporary Speaker",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "(Sen. (Dr.) Mwaura): Nafikiri huo ni mchakato ambao utaendelea. Sisi ni wanachama wa Jubilee. Miungano na mirengo ya kisiasa inaendelea kuibuka hapa nchini. Hapa ninaona kuna Maseneta wengi sana wangependa kuzungumza. Muda umeyoyoma kwa sababu bado tuna Hoja tofauti. Kama tutaidhinisha-inafaa tuwe na kikao kimoja pekee cha Seneti. Vilevile hatujaweza kutoa rambirambi zetu kwa aliyetuacha Mhe. Rais Magufuli---."
}