GET /api/v0.1/hansard/entries/1059500/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1059500,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1059500/?format=api",
"text_counter": 334,
"type": "speech",
"speaker_name": "The Temporary Speaker",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "(Sen. (Dr.) Mwaura): Nafikiri kuwa ni mwelekeo mwema Ili tusichukue muda mchache tu kwa kiongozi ambaye ni wa hadhi ya juu kama Rais Pombe Magufuli. Kwa hivyo, tuendelee na huu mjadala. Kuna Maseneta wengi ambao wanataka kuzungumza. Sasa hivi nampa nafasi Sen. Mutula Kilonzo Jnr. Ni dakika tatu."
}