GET /api/v0.1/hansard/entries/1059510/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1059510,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1059510/?format=api",
    "text_counter": 344,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "The Temporary Speaker",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "(Sen. (Dr.) Mwaura): Asante sana Sen. Sakaja. Ningependa kuchukua muda huu kumpa hongera Sen. Agnes Kavindu Muthama kwa kushinda uchaguzi wa Machakos. Tulikuwa na wewe ulipokuwa katika chama cha Jubilee na bado ulipata kura nyingi sana. Kwa hivyo, umeongeza tu kura kidogo na karibu katika hii nyumba yetu ambayo pia tuna mcha Mungu. Ningependa kusema kwamba tumeweza kuwasiliana na viongozi na kwa sababu ya muda, hoja za nambari nane na tisa zitashughulikiwa kesho."
}