GET /api/v0.1/hansard/entries/1059525/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1059525,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1059525/?format=api",
    "text_counter": 359,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "The Temporary Speaker",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "(Sen. (Dr.) Mwaura): Asante sana. Sasa hivi nitampatia Sen. Shiyonga nafasi. Pia niwajulishe Bunge la Seneti kwamba tuko katika mchakato wa kubadilisha au kutafsiri hizi Kanuni za Kudumu kwa lugha ya Kiswahili. Kwa hivyo tunatumai pia Maseneta wanaweza kuanza kutumia lugha ya Kiswahili. Kama Sen. Shiyonga unaweza kufurahi kwa kuzungumza kwa lugha ya Kiswahili."
}