GET /api/v0.1/hansard/entries/1059549/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1059549,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1059549/?format=api",
"text_counter": 383,
"type": "speech",
"speaker_name": "The Temporary Speaker",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "(Sen. (Dr.) Mwaura): Maseneta, sidhani kuna Hoja nyingine yoyote. Huu Mjadala ulitokana na Ujumbe wa Spika kwa hivyo haukuwa na muda. Hata hivyo, ninaelekeza kwamba Kamati hii ya Pamoja isichukue muda mwingi. Iwapo mtaweza kumaliza kabla ya tarehe sita Aprili, 2021, itakuwa vyema kwa sababu kuna mikakati ingine ambayo inafaa kuangaziwa. Kwa hivyo, tutawapa muda zaidi. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}