GET /api/v0.1/hansard/entries/1059552/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1059552,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1059552/?format=api",
    "text_counter": 386,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "The Temporary Speaker",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "(Sen. (Dr.) Mwaura): Waheshimiwa Maseneta, sasa hivi ni saa kumi na mbili na dakika ishirini na nane, wakati wa kuahirisha Kikao hiki cha Seneti. Kikao hiki sasa kimeahirishwa mpaka kesho, Jumatano, tarehe 24 Machi, 2021, saa nane na nusu za mchana."
}