GET /api/v0.1/hansard/entries/1059627/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1059627,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1059627/?format=api",
    "text_counter": 73,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Asante, Bw. Spika. Pia mimi naunga mkono Hoja hii kwamba tuangalie ratiba ya vikao vya Seneti. Tumeona kwamba janga la korona limetushika. Hakujawahi kutokea janga kama hili la korona katika ulimwengu kwa zaidi ya karne moja. Kwa hivyo, ni jambo ambalo lazima tulizingatie zaidi."
}