GET /api/v0.1/hansard/entries/1059629/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1059629,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1059629/?format=api",
    "text_counter": 75,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Bw. Spika, hatuwezi kukosea tukisema kwamba ugonjwa huu umeleta hasara katika Mabunge yetu mawili; Seneti na pia Bunge la Taifa. Ugonjwa huu umechukua wenzetu na kuwapeleka mbele za haki. Hii inamaanisha kwamba ugonjwa huu uko. Wakati mwingi utaona kuwa tunajaa na tunaketi karibu sana. Hii inapinga amri za Wizara ya Afya zinayosema watu waweke social distance."
}