GET /api/v0.1/hansard/entries/1059630/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1059630,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1059630/?format=api",
    "text_counter": 76,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Jambo la pili ni kwamba kumekua na upungufu wa dawa zinazokuja. Hivi sasa, chanjo zilizofika ni kama milioni moja. Taifa hili lina watu millioni 48. Ukileta chanjo milioni moja, hii ni kumaanisha Wakenya 47 hawatapata chanjo. Kadri tunavyoendelea mbele ndio kupoteza watu wengi kupitia hili janga. Ni muhimu kisisitiza zaidi kwamba Serikali wagundue mbinu za kutafuta hizi chanjo ili zikuje na zisaidie Wakenya wetu."
}