GET /api/v0.1/hansard/entries/1059633/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1059633,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1059633/?format=api",
"text_counter": 79,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "ambayo inachukua masaa 36 ukisha ambukizwa. Tunashukuru Mwenyezi Mungu kwa kumwokoa ndugu yetu Sen. Wako. Hii kwa sababu yeye alifahamu na alienda hospitali mapema, akapata hewa na aliweza kuokoa maisha yake. Lakini, ni wangapi ambao wanaweza kufanya hivyo? Ugonjwa wa COVID-19, na COVID-19 variant hatuzitatui vizuri sana."
}