GET /api/v0.1/hansard/entries/1059634/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1059634,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1059634/?format=api",
    "text_counter": 80,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Jambo la mwisho ni kwamba mochari zetu zinaanza kuwa na uzito wa kuweka maiti. Hivi sasa, ushauri ni kuwa maiti zifukiwe mapema iwezenekanavyo. Tukiendelea kuzika mapema, tutakua kama ndugu zetu Waislamu ambao mtu akifakiri leo, anazikwa hiyo siku, kulingana na wakati aliofariki. Tungependa kuwaambia ndugu zetu Wakristo kwamba hakuna haja ya kuweka mwili ikiwa mtu amefariki kutokana na COVID-19 ama kuzingatia taratibu za sheria za Wizara ya Afya. Lazima Serikali ichukue mkondo wa mbele kuona kwamba imeweza kuleta dawa za kutosha."
}