GET /api/v0.1/hansard/entries/1059804/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1059804,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1059804/?format=api",
"text_counter": 250,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. (Dr.) Mwaura",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13129,
"legal_name": "Isaac Maigua Mwaura",
"slug": "isaac-mwaura"
},
"content": "Kwa hivyo, ni mtu wakutajika sana. Alihakikisha kuwa hakuna ukora na wizi wa rasilmali ya madini tofauti tofauti. Hilo ni jambo nzuri zaidi kwa sababu alihakikisha kuwa Mwafrika hatanyanyaswa kutokana na wizi ambao unatumika na makampuni za kigeni hivi The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}