GET /api/v0.1/hansard/entries/1059822/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1059822,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1059822/?format=api",
    "text_counter": 268,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Bi. Spika wa Muda, nikimaliza, tunakumbuka kuwa wakati alikuwa anasafiri kuzungumza, alienda kila mahali Tanzania. Alienda Zanzibar, Pemba, Unguja, Dodoma, na Mwanza. Kote alikoenda, watu walimpenda sana. Saa zile alikuwa anafanya mkutano, alikuwa anamwita mama ama mzee amwambie ni shida gani zipo katika eneo hilo. Mara The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}