GET /api/v0.1/hansard/entries/1059823/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1059823,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1059823/?format=api",
"text_counter": 269,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "tu yule mama au mzee alisema, alikuwa anachukua hatua papo hapo. Ni jambo ambalo hatujaona likitendeka na marais wote wa Afrika. Vile vile, kwa mambo ya kupigana na ufisadi, yeye alikuwa kipaumbele. Kama ulikuwa umefanya mambo ya ufisadi, (Dkt.) John Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alikuwa hana huruma. Alikuwa anakufuta saa iyo hiyo hata akiwa kwa barabara au kukuambia kwamba akirudi tena, kazi yako itakuwa imeisha. Huo ndio mwelekeo ambao tunataka hata Rais wetu afuate. Mambo ya ufisadi yamekithiri zaidi hapa Kenya. Ikiwa tutauiga mfano huo, hata sisi tutaweza kuendelea."
}