GET /api/v0.1/hansard/entries/1059922/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1059922,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1059922/?format=api",
"text_counter": 63,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kinango, ODM",
"speaker_title": "Hon. Benjamin Tayari",
"speaker": {
"id": 13379,
"legal_name": "Benjamin Dalu Stephen Tayari",
"slug": "benjamin-dalu-stephen-tayari-2"
},
"content": " Asante sana, Mhe. Spika. Nachukua nafasi hii kuunga mkono Mhe. Duale kwa kuleta dua hii katika Bunge kwa sababu hili swala liko kila mahali nchini. Katika eneo Bunge langu, niko na jamii kubwa sana ya Wasomali ambao pia wameteseka kwa miaka mingi bila vitambulisho. Kwa upande ambao tunapakana na Tanzania, pia tuko na Wamaasai wengi ambao wamefikisha umri wa miaka 25, lakini bado hawajapata vitambulisho. Kwa hivyo, naunga mkono Mhe. Duale ili dua hii itiliwe maanani haraka kwa sababu vijana wengi wanateseka sana. Asante sana, Mhe. Spika."
}