GET /api/v0.1/hansard/entries/1060904/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1060904,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1060904/?format=api",
    "text_counter": 108,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mvita, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Abdullswamad Nassir",
    "speaker": {
        "id": 2433,
        "legal_name": "Abdulswamad Sheriff Nassir",
        "slug": "abdulswamad-sheriff-nassir"
    },
    "content": " Asante sana, Mhe. Spika. Kupitia Kanuni za Kudumu za Bunge 218(2), naomba upeane amri kwa Kamati husika ya Nishati alimaarufu Energy na Kamati ya Sheria za Kukabithiwa alimaarufu Delegated Legislation waweke uchungunzi wa Pamoja kuhusu mikakati inayotumiwa na Energy and Petroleum Regulatory Authority (EPRA) kuweka bei za jumla na rejareja za mafuta, ikiwa hawaja fahamu petroli katika nchi hii yetu."
}