GET /api/v0.1/hansard/entries/106309/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 106309,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/106309/?format=api",
"text_counter": 340,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Muthama",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 96,
"legal_name": "Johnson Nduya Muthama",
"slug": "johnson-muthama"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, kuna msemo wa Kiswahili kwamba kosa si kukosa, lakini kosa ni kurudia kosa, na kuishi na kosa. Makosa yalitokea hapa na sasa tunataka kuthibitisha kwa imani yetu kwamba hatuwezi kuishi kwa makosa, na tunaweza kutengeneza tume zinazoweza kushughulikia maisha na haki za kibinadamu kiasi fulani, na waliotendewa madhambi waangaliwe. Mimi nasimama kusema kwamba kama tulivyobuni tume ambayo ni ya haki na"
}