GET /api/v0.1/hansard/entries/1063102/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1063102,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1063102/?format=api",
    "text_counter": 94,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Asante, Bw. Spika, kwa kunipa fursa hii nijiunge na Maseneta wezangu kumpa kongole Sen. Haji Abdulkadir Mohamed ambaye alichaguliwa bila kupingwa kama Seneta wa Kaunti ya Garissa. Viatu anavyovaa ni vikubwa sana. Sisi Maseneta wenzake tuna jukumu la kumsaidia ili kuona kwamba anatekeleza jukumu lake kama Seneta wa Kaunti ya Garissa na pia kama mtumishi katika nchi yetu."
}