GET /api/v0.1/hansard/entries/1063103/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1063103,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1063103/?format=api",
    "text_counter": 95,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Bw. Spika, tajiriba yake inajulikana na hakuna haja ya kuikariri hapa. Mtume wetu Suleiman anasema kwamba mtu anapoondoka duniani huwa amali yake imekwisha isipokuwa mambo matatu. Kwanza, ni Sadaqah Jariyah yaani sadaka ambazo ametoa mbeleni ambazo zitamsaidia. Pili ni mtoto mwema ambaye atafanya mambo mazuri na tatu ni kama aliweza kujenga shule ama kuwasomesha watoto ambao wataweza kumuombea dua."
}