GET /api/v0.1/hansard/entries/106312/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 106312,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/106312/?format=api",
"text_counter": 343,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Muthama",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 96,
"legal_name": "Johnson Nduya Muthama",
"slug": "johnson-muthama"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, katika wimbo wetu wa Taifa, hausemi kuwa jamii au kundi fulani la watu; unasema Wakenya wote wanalindwa na sheria za nchi yetu! Ni wakati huu sasa tunataka kusema kwamba haki ya kila Mkenya iheshimiwe na itambuliwe. Kwa hivyo, sheria hii tuifute na tuweke uwazi kwa wananchi wa Kenya. Bw. Naibu Spika, tunaposema mambo ya ardhi; tunaposema mambo ya Internally"
}