GET /api/v0.1/hansard/entries/106314/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 106314,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/106314/?format=api",
    "text_counter": 345,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Muthama",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 96,
        "legal_name": "Johnson Nduya Muthama",
        "slug": "johnson-muthama"
    },
    "content": ", tunaongea mambo ya Wakenya! Mimi sitakubali kusimama hapa niongee mambo ya jamii fulani; nitaongea mambo ya Wakenya! Hata tunapoongea juu ya IDPs waliopata taabu, hawa wote ni Wakenya na wanastahili ulinzi wa nchi. Kwa hivyo, Bw. Naibu Spika, naunga mkono Mswada huu na kusema tuifute sheria hii. Asante, Bw. Naibu Spika."
}