GET /api/v0.1/hansard/entries/1063343/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1063343,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1063343/?format=api",
    "text_counter": 335,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "ugatuzi ambazo zinakwenda katika serikali zetu za mashinani. Hatimaye zile kaunti ambazo zilikuwa zinapoteza ziliweza kupata ile pesa na kuongezwa tena zingine juu mojawapo ikiwa zile serikali za ugatuzi za jimbo letu la Pwani. Kulingana na Katiba ya Kenya Kipengele cha 96, kinapatia mamlaka ama majukumu ama uwezo Bunge la Seneti kuweza kutekeleza wajibu huu. Watapigania na kutetea kuona ya kwamba pesa zinazokwenda katika serikali za ugatuzi kote mashinani katika serikali 47 zimeweza kwenda bila uharibifu wa aina yeyote ama kupotea. Maseneta walio hapa walisimama kidete. Ningependa kuwashukuru sana kwa sababu ilikua hali ya vuta nikuvute, lakini mwishowe tulifaulu."
}