GET /api/v0.1/hansard/entries/1063352/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1063352,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1063352/?format=api",
"text_counter": 344,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Iwapo usafiri utacheleweshwa, mashirika ya meli yataweka delay surcharge kwa Bandari ya Mombasa. Hii yote imesabaishwa na Serikali kutohusisha wananchi katika zile miradi wanapanga kufanya. Asante."
}