GET /api/v0.1/hansard/entries/1063375/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1063375,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1063375/?format=api",
    "text_counter": 367,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Loitiptip",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13512,
        "legal_name": "Anuar Loitiptip",
        "slug": "anwar-loitiptip"
    },
    "content": "Shukran Bi. Spika wa Muda kwa kunipa fursa hii niweze kuchangia Mswada wa ugavi wa rasilimali 2021/2022.Kwanza, ningependa kusema kama Seneta wa Kaunti ya Lamu kuwa naunga mkono Ripoti hii. Pili, natoa shukrani zangu za dhati kwa Kamati ya Fedha na Bajeti inayoongozwa na Sen. Kibiru kwa kuja na Ripoti ambayo ni kabambe na kuzingatia kila kaunti isiweze kupoteza rasilimali yoyote."
}