GET /api/v0.1/hansard/entries/1063378/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1063378,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1063378/?format=api",
"text_counter": 370,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Loitiptip",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13512,
"legal_name": "Anuar Loitiptip",
"slug": "anwar-loitiptip"
},
"content": "Jambo la pili ambalo ningependa kuzungumzia ni kuchelewa kwa ugavi wa rasilimali. Katika kaunti ya Lamu, kuna hospitali ambayo imekuwa ikijengwa maeneo ya Mpeketoni. Kwa miezi sita ambayo imepita, hakuna kitu ambacho kimeendelea hapo. Hiyo rasilimali imesimama. Najua kwamba Maseneta wengine wataniunga mkono kwa sababu kuchelewa kwa rasilimali ni donda sugu katika kaunti zetu."
}