GET /api/v0.1/hansard/entries/1064382/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1064382,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1064382/?format=api",
"text_counter": 79,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mwatate, ODM",
"speaker_title": "Hon. Andrew Mwadime",
"speaker": {
"id": 2451,
"legal_name": "Andrew Mwadime",
"slug": "andrew-mwadime"
},
"content": "nafanya marekebisho kwa hizi sheria za makazi. Nilishangaa sana na Mhe. Koinange. Ni mtu alikuwa anapenda Wakenya wote. Alikuwa sio mtu mwenye ukabila. Naomba wakenya tumuige Mhe. Koinange kwa maana yale mawaidha alikuwa ananipatia wakati wa hizo sheria, nilishangaa sana. Ee Mwenyezi Mungu, weka roho yake pahali pazuri kule peponi. Asante, Mhe. Spika."
}