GET /api/v0.1/hansard/entries/1065477/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1065477,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1065477/?format=api",
"text_counter": 106,
"type": "speech",
"speaker_name": "Malindi, ODM",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Aisha Jumwa",
"speaker": {
"id": 691,
"legal_name": "Aisha Jumwa Katana",
"slug": "aisha-jumwa-katana"
},
"content": " Asante sana, Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda. Mimi nimesimama kupinga kwa dhati huu Mswada. Nataka niseme kwamba… Naomba uniruhusu nitoe mask. Nataka nianze kwa kuliweka vizuri suala la mchakato mzima kutoka mwanzo wake mpaka hapa tulipofikia. Utaratibu ambao ulitumika kufikia hapa tulipokuwa na Mswada, ripoti zimekuwa katika hali ya kukanganyana, kutoka Bomas 1, KICC, na Bomas 2. Ripoti zote zilikuwa zinakanganya. Tumesikia kwamba Mswada ambao ulipelekwa katika County Assemblies, yaani mabunge ya kaunti ili kuzungumziwa…"
}