GET /api/v0.1/hansard/entries/1065488/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1065488,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1065488/?format=api",
    "text_counter": 117,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Malindi, ODM",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Aisha Jumwa",
    "speaker": {
        "id": 691,
        "legal_name": "Aisha Jumwa Katana",
        "slug": "aisha-jumwa-katana"
    },
    "content": " Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda, Kiswahili kitukuzwe. Tumetoka kwenye mapumziko na tukaitwa hususan kwa kikao maalum. Kwa hivyo, hapo hakuna hoja ambayo inatatiza. Labda pia ningekushauri ukapata mafunzo ya darasa la Kiswahili maanake ni lugha ambayo inatambulika na inaeleweka kikatiba. Wananchi katika taifa letu wametupa nguvu zao kuweza kuwasemea katika Bunge hili. Leo wananchi wanaumia na ugonjwa wa korona na Oxygen katika hospitali zetu hakuna. Watu wamechukua loans na wanakufa na depression. Watu wana mizigo mikubwa. Leo sisi tunakuja hapa kuzungumzia Bill ambayo kwanza inaongezea mzigo Wanjiku ambaye tayari saa hii ana The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}