GET /api/v0.1/hansard/entries/1066104/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1066104,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1066104/?format=api",
"text_counter": 70,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mutula Kilonzo Jnr.",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13156,
"legal_name": "Mutula Kilonzo Jnr",
"slug": "mutula-kilonzo-jnr"
},
"content": "Bi Spika, mimi pia nataka kukubaliana na Sen. Madzayo kwamba hiyo sio hoja ya nidhamu. Huyu mwenzetu kama ana maswala ambayo anataka kuyapinga kulingana na ufasaha au kulingana na maneno ambayo yanasemwa na Sen. Kwamboka, anaweza kusubiri nafasi yake. Mambo anayosema ni wasia wake kikatiba na katika Standing Orders zetu, ana haki ya kufanya hivyo. Asante, Bi Naibu Spika."
}