GET /api/v0.1/hansard/entries/1066113/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1066113,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1066113/?format=api",
    "text_counter": 79,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kwamboka",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 9246,
        "legal_name": "Beatrice Kwamboka Makori",
        "slug": "beatrice-kwamboka-makori"
    },
    "content": "Bi Naibu Spika, sijui ni nani ana ingilia maneno yangu kwa sababu nilikuwa nazungumzia point nzuri zaidi. Nina shanga sana nikiwaona wale wanaume Wabunge ambao wako katika Bunge hili wakipinga Mswada huu. Wanaogopa nini? Kile ambacho wanaume wanafanya, wanawake watafanya bora zaidi."
}